Nauza gari milioni 3

Kumbe na wewe una Gx90
Gari hazitembelei vifua basi FIAT mbaula ingekuwa na mwendo km ni kutoka Dar kwenda Songea
nimekupa uwezo wa injini na utumiaji wa mafuta basi hii post sikukuelewa ni barabara gani
hayo barabarani ndiyo utalitambua kwa nini mjapani kalivisha silinda sita!
naomba Google au nitajie ni lini hiyo aina ya gari yako hapa ULIMWENGUNI imeingizwa katika mashindano ya magari
Motorace zote huwezi kosa Toyota Corolla au Toyota Carina sio migari kama GX Bravis, Verossa, Mark X hayaamooo
km una Ballon hapo juu na unatumia ID mbili jaribu kuweka hata mileage zake maana hizi gari mwisho wake kuwa barabarani ni mwaka kesho iuze mapema km utakosa hiyo 3m isije kuwa scrper

 

hapana kaka, sina gx 90 kwa sasa, mimi huwa nalenga na kuuza, kwa hiyo gari aina nyingi kiasi zinapita mkononi mwangu, hiyo gx90 kama iko vizuri nalipa 2-2.5M naiuza kwa 3-4M kwa mtu sahihi. Mimi na huyu mdau anayeuza hatufahamiani na sina maslahi ya aina yoyot akiuza au asipouza, mimi nimemwambia tu aweke picha zinazoonyesha gari kama bado ni nzuri niwasiliane nae tuelewane nimlipe niliweke ndani nivizie mteja.

Magari yana madaraja, kulinganisha roli na sedan ni irrelevant, roli hata likiwa na silinda 24 uzani aerodynamics na factors zingine zinalinyima speed. Tukirudi kwenye hizi gari ndogo sedan tunazotembelea, injini ya silinda 6 inazalisha horsepower na torque kubwa kuliko ya silinda 4 (assuming gari zote zina, au hazina turbo charger), mwendo ambao mwenye silinda sita anatembea with ease wa silinda 4 akiufuata ataona RPM inakwenda juu, hata mlio wa gari utakwambia sheikh. sisemi carina ni gari mbaya, ni one of the hottest selling car hapa Tanzania, pamoja na IST, ni gari za uchumi, siyo gari za speed. Halafu sijawahi kuiona Hennessey Venom GT ikishiriki mashindano ya langalanga, itakuwa inazidiwa speed na Imprezza!
 

Hawa wajapani mara nyingi wanabadili bodi na functions chache tu, engine wanaenelea kuzalisha zilezile tu ndiyo maana utakutna na 1G, 1KZ, 3S, 2JZ, NK zimetumika kwenye magari ya aina tofautitofauti, developer wao wanatwist vitu vichache sana lakini basics za engine zinabaki vilevile. Halafu carina yako ni ya mwaka gani vile, maana walishaacha kuzalisha carina toka 2000...teh!
 
Picha ndio hizi alizo nitumia mc babu ayubu.
 

Attachments

  • 1423606528237.jpg
    38 KB · Views: 245
  • 1423606667960.jpg
    31.6 KB · Views: 216
  • 1423606709323.jpg
    35.3 KB · Views: 220
  • 1423606750775.jpg
    41.4 KB · Views: 211
Hiyo yenye namba T927 Ajv nimekosea hiyo sio ya babu ayubu.
 
Kuna gari zingine hizi

1. Toyota gaia mil 6 number cld
2. Toyota hilux double cabin mil 10 number anf

zote zinatembea.

0713774746
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…