Kwa barabara gani za hapa Tanzania zenye tochi kibao?
Kwenye starting tu GX 90 mpaka GX 100 hamna kitu machovu hasa na ndio maana hata kwenye mashindano yoyote ya magari Ulimwenguni hayajawahi shiriki
Corolla au Carina Ti USISEME shooting yake hadi 100km/h ni ndani ya 10sec
nilishawahi teremka na Corolla ya kizamani AE 100 njia ya Chalinze - Moro zilikuwepo Toyota Grand zenye injini ya GX na Ballon yako ilikuwepo na vigari vidogo km Toyota IST Ballon tulimuacha mbali sana na IST alituongoza hatukumuona
Kwa hiyo Technology ya hizi Ballon imepitwa na wakati na sijui km zipo tena kwenye soko la 2010
Ballon 1990 cc
IST 1500cc
Corolla 1499 cc