Nauza gari ist


Boss mbona unacheza na akili zetu????

Unajua kama Tanzania hakuna gari yoyote yenye number za I wala O kwasababu zinaleta mkanganyiko kwenye 1 na 0.

Hebu kuwa serious kama kweli unauza upewe hela
 
Hakuna kitu hapo anazingua tu hyo,,unaleta pcha za milango na dashboard unataka watu wakueleweje
 
Mtu Kama yupo serious njoo pm... only shillings 8.5 mil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…