Nauza gari hijet truck direct from japan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza gari hijet truck direct from japan

Discussion in 'Matangazo madogo' started by JERRY, Apr 19, 2012.

 1. J

  JERRY JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  jamani nimeagiza gari from japan. inawasili April 20, 2012.Documents zote wameshanitumia toka japani yaani Billy of lading,inspection certificates na nyingine.
  Taratibu zote za kilipa ushuru kutumia clearing and forwarding agent zimekamilika nangojea tu gari ifike kwa malipo
  kama mtu yupo interested anaweza wasiliana nami thru.EMAIL.jeremykileo@yahoo.com
  AKALIPIA gharama za bandarini kabisa ili documents zisajiliwe kwa jina lake.
  GARI NI ZURI SANA LINA AIR CONDITION INAFANYA KAZI, FIVE SPEED MANUAL TRANSIMMISION,NA NI 4WD.
  BEI 7,700,000/=
  EREMY
   
 2. J

  JERRY JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ni DAIHATSU HIJET TRUCK, CC 660.
  NI GARI YA KUBEBEA MIZIGO MUUNDO WA SUZUKI CARRY
   
Loading...