emanuel kiduvilo
Senior Member
- Aug 5, 2014
- 165
- 20
Imetembea km 75320,cc yake 2000,na n production ya mwk 2004 bei yake ni m9.5 kwa mawasiliano tumia no hii0768359292 maana biashara n maelewano pics chin apo
Unataka CC 650??Kwa CC hizo ?mmhhh mi napita tu ila ni gari nzuri sana
Unataka CC 650??
Ila humu ndani kuna watu cjui niseme ni wachawi cjui ndio unafki tuseme wanapenda sana kuponda biashara za watu uliesema umnunulie babu yako wewe una nn kenge maj wewe
Ila humu ndani kuna watu cjui niseme ni wachawi cjui ndio unafki tuseme wanapenda sana kuponda biashara za watu uliesema umnunulie babu yako wewe una nn kenge maj wewe
Wewe ndio mchawi mwenyewe!
Mtu anamuomba babu yake amnunulie gari, we unasema eti analitaka gari amnunulie babu yake, unajiona umepoooonda mwenyewe, Kumbe kusoma hujui!!
Teh Teh dah! Napita tu
Hichi kiswahili hiki.....mungu asaidie..Ipo sawa ila pics za ndani umepijia mbali
Kwanini unauza hii gari yenye CPA?
We lazima utakuwa unamiliki Suzuki Kei.650 Ndo habari ya mujini nsni anataka presha kila uonapo sheli
Twende PM chapchap sana...... Vitendo bila kuchelewa.Hebu acha maneno na watu.Faster ninunulie hilo gari babu yangu