yakobo11
JF-Expert Member
- Aug 10, 2016
- 510
- 736
Habari za wakati huu, gari unayoiona hapa aina ya Suzuki Swift , uwezo wa engine cc1300, hipo katika hali njema sana. Kila kitu chake nj chema. Bei ni 5,500,000/= njoo nikuuzie gari. Kwa lolote njoo PM napatika muda wote.
Inanusa mafuta ....imetulia...inafaa hata kwa kiifanya Taxi na kujitengenezea fedha. kinoma...inapendeza...iwahi kabla haijawahiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inanusa mafuta ....imetulia...inafaa hata kwa kiifanya Taxi na kujitengenezea fedha. kinoma...inapendeza...iwahi kabla haijawahiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app