Nauza galaxy s3 kwa bei ya hasara..

Nauza galaxy s3 kwa bei ya hasara..

imomo

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
29
Reaction score
3
Jamani wadau,, nauza simu yangu galaxy s3..inatatizo moja tu,, haitoi sauti..ili tokea baada ya ku update operating system kumbe os nilioitumia sio ya model hii..yangu ni GT-i9300..ila kwa sasa nimenunua htc one..kama kuna mtu interested anishtue..bei ni 350, 000
 
Fundi aliniambia inabidi nimpe elfu 50 ili ai restore...nikatilia uvivu..
 
Jamani wadau,, nauza simu yangu galaxy s3..inatatizo moja tu,, haitoi sauti..ili tokea baada ya ku update operating system kumbe os nilioitumia sio ya model hii..yangu ni GT-i9300..ila kwa sasa nimenunua htc one..kama kuna mtu interested anishtue..bei ni 350, 000

Mkuu Mimi natoa 250000/=
 
Mkuu hapo umeenda chini sana...fanya laki 3 basi...hiyo 250 noma
 
Jamani wadau,, nauza simu yangu galaxy s3..inatatizo moja tu,, haitoi sauti..ili tokea baada ya ku update operating system kumbe os nilioitumia sio ya model hii..yangu ni GT-i9300..ila kwa sasa nimenunua htc one..kama kuna mtu interested anishtue..bei ni 350, 000

Hv inatokeaje unaupdate os isiyo ya simu? Os ukisearch si inakuja as per ur model number au uliiroot kwa kwa application isiyo yake??
 
Nili update kwa kutumia Odin...sio automatic update...lile file nililo tumia nilili download kutoka kwenye site fulani hivi..yani kama imekuwa soft bricked...inabidi iwe restored
 
Jamani wadau,, nauza simu yangu galaxy s3..inatatizo moja tu,, haitoi sauti..ili tokea baada ya ku update operating system kumbe os nilioitumia sio ya model hii..yangu ni GT-i9300..ila kwa sasa nimenunua htc one..kama kuna mtu interested anishtue..bei ni 350, 000
unapatikana wapi mkuu
 
kwa sababu umetangaza humu, basi tuwekee picha humu, screen shots nk pamoja na specifications hasa kama kuna apps ambazo ni za kipekee ulizoziweka. wengi tupo interested. nipo dom but next week naja dar kutafuta cm bomba
 
Hizo hapo wazee... nicheki namba yangu ni 0688413421...
 
Attachments

  • 1397824200522.jpg
    1397824200522.jpg
    55.3 KB · Views: 160
  • 1397824258047.jpg
    1397824258047.jpg
    24.4 KB · Views: 136
  • 1397824311644.jpg
    1397824311644.jpg
    48.9 KB · Views: 141
kwa sababu umetangaza humu, basi tuwekee picha humu, screen shots nk pamoja na specifications hasa kama kuna apps ambazo ni za kipekee ulizoziweka. wengi tupo interested. nipo dom but next week naja dar kutafuta cm bomba

Picha hizo hapo juu
 
Back
Top Bottom