Habari wadau. Kama heading inavyosema, nauza double fryer ya kukaangia chips! Ni bado mpya ina chini ya mwezi mmoja tu. Bei yake ni 250,000 na maongezi yapo. Kwa mawasiliano na picha zaidi, tuwasiliane kwenye namba zifuatazo 0754762856 au 0712220207
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.