Nauza friji dogo 150000 fixed

Wakuu nauza friji yangu ndogo 150000 fixed, ipo kwenye hali nzuri. Wenye uhitaji ani pm.
5157352a649386393360d98a5bce1c0f.jpg
Unapatikana wapi wewe? Friji halina tatizo
 
Jamani kwa wenyeji wa dar nielekezeni nipande GARI zipi kwenda Nacte nipo mabibo hapa
Nenda external pale panda gari za temeke- makumbusho au buguruni makumbusho, shuka kituo ITV , tazama mkono wako wa kushoto ulioshukia kuna barabara inapandisha juu. Ifuate hiyo mpka utakapoona chuo cha kodi kata kulia angalia mkono wako wa kushoto utapaona nacte! Sijui nimepatia maana kuelekeza napo kipaji!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom