Nauza frigde ya milango2

Nauza frigde ya milango2

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,502
Reaction score
372
Habari nauza frigde ya milango2
Nimenunua mpya nauza bei laki2 na nusu bei inapungua
Ni PM kama unataka picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Habari nauza frigde ya milango2
Nimenunua mpya nauza bei laki2 na nusu bei inapungua
Ni PM kama unataka picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

weka picha/brand name na location .. ni pm hivo vitu
 
Mkuu nahitaji sana hiyo fridge, tatizo sina access ya kuku-PM.
Kama hutojali naomba uweke picha yake hapa hadharani kisha tufanye baiashara immediately.
 
Frigde ipo nashindwa kuweka picha mwenye kuitaji aje PM nimtumie picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom