Nauza Fridge aina ya LG

Nauza Fridge aina ya LG

Amani 2015

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
82
Reaction score
14
.....Nauza fridge aina ya Lg limetumika miezi minne.. Nipo Dar es salaam... Bei ni 500,000.. Nimeambatanisha picture zake kwa chini... Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607.. Karibuni Karibuni
1477645648503.jpg
1477645665715.jpg
 
...Wakuu nimepata fridge kubwa zaidi hii haitumiki tena... Ni nzima nakupa na guarantee ya mwaka mzima
 
Be the first to reply

Mkubwa Kwanini uuze?
Au kwako Huna vitu vya kupooza?
Na kama Huna Kwanini ulilinunua?
Na kama ulinunua bahati mbaya Kwanini uuze bei ya kutupa hivyo?
....Mkuu hii haitumiki tena.. nimepata fridge kubwa zaidi ya hiyo ndio maana nauza hii ndogo.. Nakupa na guarantee ya mwaka mzima
 
Oooh, ngoja waje kununua maana awamu hii ya tano kwangu pakavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom