Mimi nipo Dar, nielekeze sehemu za kuzipata hizo mbegu, au week ijayo naweza kuja Moro ukaniuziaMbegu za tanzania zinakubali sehem za baridi!!niliwah agiza dar hazijafanya vzr zinakuwa zinatoa maua tu uko wap wewe??km uko sehem za barid unawza jaribu!!karibu
Hizi strawberry, unamletea mteja alipo au anafuata huko uliko.Karibu sana
Hizi strawberry, unamletea mteja alipo au anafuata huko uliko.
kwa mfano kama nataka piece 30 kila week unaweza ku supply ?
Na kwa msaada zaidi.... soko la uhakika ni dar... arusha na znz.Hizi strawberry, unamletea mteja alipo au anafuata huko uliko.
kwa mfano kama nataka piece 30 kila week unaweza ku supply ?
Habari mkuu, upo Arusha sehemu gani. Nahitaji mbegu za strawberry tafadhaliHongera for the big step......mimi nimeanza na strawberries kidogo nilizopewa na rafiki arusha,in sha allah mwezi huu nitapanda mbegu zaidi kwenye ka bustani kangu kadogombegu nimeshazipata.
Wenye info zaidi karibuni!
Pia kwa wanaohitaji mbegu wanicheki(seeds) not seedlings
Mimi sihitaji soko, nahitaji mtu wa ku supply wa uhakikaNa kwa msaada zaidi.... soko la uhakika ni dar... arusha na znz.
Hotel kubwa... wazungu... na viwanda vya kutengeneza radha.
Bei kwa kilo kuanzia elf 50-100. Fanya utafiti
Masoko ya nnje pia yapo.
Sent from "La -Vista"
Mi naweza kukutumia uliko.... ila mi niko mkoani .... na nitakuwa nasafirisha kwa ndege....
Mimi nitakuuzia kwa kilo moja
Elf 30.
Gharama za usafiri kwa ndege ni juu yangu....
Zitakufikia kwa wakati na ubora sahihi..
Kama uko serious njoo inbox tufanye business...
Nina uwezo wa kutoa zaidi ya kilo 50-100 kwa wiki.
Niko umbali wa km 1000 toka dar.
Karibu.
Miche pia nauza mmoja elfu 3.
Mbegu hauwez kuziotesha.... mi nimefanya hii kazi miaka 7 now ila nimeahindwa kuotesha mbegu.
Sent from "La -Vista"
Sawa karibu sn
Hakuna wanunuzi humu..... na wangekuwepo asingetangaza buure....... jf wangetaka pesaunaharibu uzi wa mwenzio , biashara atangaze yeye nawewe unakuja kujinadi siyopoa mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app