masterbaster
Member
- Feb 4, 2016
- 80
- 63
p
Mi ninayo mpyaaaa, ila siuzi!Mkuu naweza pata 1 terabite?.....na bei yake itakuw sh ngap masterbaster
Hahaaha.....aina gan na ulinunua sh ngapMi ninayo mpyaaaa, ila siuzi!
Color ni nyeusi, nilimuagiza mtu alikuwa anatoka india, ilinigharim kama 130,000 hivi!COLOR=BLUE]Hahaaha.....aina gan na ulinunua sh ngap[/COLOR]
Sawa mkuu.....kwa hapa bongo cdhan km ntapata kwa hio priceColor ni nyeusi, nilimuagiza mtu alikuwa anatoka india, ilinigharim kama 130,000 hivi!
Naitka nipmSamsung RED & BLUE
GB 350
Free: movies/latest music audio & videos
Call/whatsapp: 0764 876 888 DARView attachment 559221 View attachment 559223
Vipi, ni ya juu sana au iko chini??Sawa mkuu.....kwa hapa bongo cdhan km ntapata kwa hio price
Hapa bongo unapata kwa 150-160 nishazinunua mara nyingi tuSawa mkuu.....kwa hapa bongo cdhan km ntapata kwa hio price
1tb - 150,000Mkuu naweza pata 1 terabite?.....na bei yake itakuw sh ngap masterbaster
dar - tabata/magomeniUnapatikana wapi?