Engine imefunguliwa kwenye gari nzima inayotembea. Kwakuwa ni model ya umeme, crankshaft sensor na vgt valve hazipatikani. Kila kitu kingine kizima. Spare zote zilizobaki zinaingiliana na 4D56 ya kawaida.
Bei ni 1,500,000
Engine ipo jeti lumo- Dar Es Salaam
Kama unahitaji spare yoyote ktk engine hiyo naweza kukuuzia ila ni nafuu kununua engine kuliko spare moja moja.
PM kwa mawasiliano
Bei ni 1,500,000
Engine ipo jeti lumo- Dar Es Salaam
Kama unahitaji spare yoyote ktk engine hiyo naweza kukuuzia ila ni nafuu kununua engine kuliko spare moja moja.
PM kwa mawasiliano