Nauza eneo la kiwanda kisarawe

Nauza eneo la kiwanda kisarawe

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,462
Kama heading ilivyo nina eneo la kiwanda maeneo ya Kisarawe eneo lililoteuliwa kuwa la viwanda ,nina sqm 5000 ikiwa na document zote za serikali ,eneo lipo umbali wa km 8 kutokea kiluvya ,liko karibu na mradi wa SGR kuna nyumba ambayo sijaimalizia kujenga,
Nahitaji mtu aninunulie Bus ya abiri Eicher ,au Costa na anipatie Cash ya 15m nampatia eneo hilo,kwa mbele yangu kuna kiwanda cha Saruji cha Lucky cement, mawasiliano kwa maelezo zaidi 0752014652
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom