Nauza DVD za software progams

paramawe

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
151
Reaction score
24
Wakuu kwa atakae hitaji DVD za software programs kama vile windows, drivers za kila aina, Microsoft office na program zikiwa ktk DVD nk anaweza kupata kwangu, bei ni tsh elfu kumi tu. Mawasiliano ni 0655 600 437, 0785 600 435
 
wakuu kwa atakae hitaji DVD za software programs kama vile windows, drivers za kila aina, Microsoft office na program zikiwa ktk DVD, nk anaweza kupata kwangu, bei ni tsh elfu kumi tu. mawasiliano ni 0655 600 437, 0785 600 435
genuine Au za ku-download? funguka
 
mzee unachukua kickass af unauza
 
Hili tangazo ungelipeleka kule jukwaa la matangazo huku umepotea
 
Genuine kwa elf10 mkuu? Huyu anaiba halafu anauza! Software mbona zinapatikana nyingi tu online ukiingia thepiratebaydotse unazikamata kibao tu!

kweli ila hizi zilizo ktk DVD ni bora pia maana utamiliki DVD na kutumia kwa muda utakao.
 
wakuu kwa atakae hitaji DVD za software programs kama vile windows, drivers za kila aina, Microsoft office na program zikiwa ktk DVD, nk anaweza kupata kwangu, bei ni tsh elfu kumi tu. mawasiliano ni 0655 600 437, 0785 600 435
Umepotea njia mkuu..hii peleka kule jukwaa la matangazo.
Ushauri wa bure..::Humu hua hatuuziani software/programs,,jukwaa hili vitu kama hvyo hua vinatolewa bureeeee..
Yaan programs zipo online kibao afu we watak kutuuzia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…