Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
We futi za nini? Unataka uligeuze kuwa beseni? Madish ya DSTV yote yanalingana.Ft ngapi?
Mkuu, inategemea na book value au historical cost. Mimi nililinunua laki na nusu. By the way hilo utalouziwa la efu sabini halina ubora kama hili nililouziwa mie... Yani hapo ni sawa mtu anunue Coaster mpya alafu mwingine naye auziwe Eicher mpya... You cant compare the two in terms of quality am telling you.Kwa nini mtu anunue dishi lilitumika kwa elfu 50, ilhali wenyewe DSTV wanauza seti nzima kwa elfu 79?
(Dishi, dikoda na rimoti)
Acha zako wewe mpya 76000/= wataka utuingize cha kike.Mkuu, inategemea na book value au historical cost. Mimi nililinunua laki na nusu. By the way hilo utalouziwa la efu sabini halina ubora kama hili nililouziwa mie... Yani hapo ni sawa mtu anunue Coaster mpya alafu mwingine naye auziwe Eicher mpya... You cant compare the two in terms of quality am telling you.
Ww jamaa VP? Nimeuliza kwa sababu mi ni mdau wa FTA na natafuta dish la ft 8, sasa nashangaa unajibu kwa kejeli baadala ya kunifafanulia.We futi za nini? Unataka uligeuze kuwa beseni? Madish ya DSTV yote yanalingana.
Nadhani wewe huelewi kuhusu madish ya DSTV. Nimekupata concern yako. Yale madish mengine ndio yana ukubwa tofauti. Ila hawa DSTV madish yao yako standardised.Ww jamaa VP? Nimeuliza kwa sababu mi ni mdau wa FTA na natafuta dish la ft 8, sasa nashangaa unajibu kwa kejeli baadala ya kunifafanulia.
Tangu lini Dstv mtu akafunga dish futi 8?Ww jamaa VP? Nimeuliza kwa sababu mi ni mdau wa FTA na natafuta dish la ft 8, sasa nashangaa unajibu kwa kejeli baadala ya kunifafanulia.
Jamaa ameshafafanua, sina uelewa na DSTV siku zote huwa natumia FTA receivers.Tangu lini Dstv mtu akafunga dish futi 8?
Tv kwa bibi kijijini, dish nauza kwa 50, wapi decorder?Kwa anayehitaji Dish la DSTV linapatikana Tabata kwa bei tajwa hapo. Haipungui hata mia.
Ninaliuza kwa kuwa nimekwisha acha kuangalia TV maiak miwili iliyopita (since then nakesha hapa JF, so I dont see a need to watch TV)
TV nilishaipeleka kijijini kwa bibi yenu na sasa dishi ndio liko hapa stranded!
So kwa anayehitaji anichek inbox...
Mkuu, inategemea na book value au historical cost. Mimi nililinunua laki na nusu. By the way hilo utalouziwa la efu sabini halina ubora kama hili nililouziwa mie... Yani hapo ni sawa mtu anunue Coaster mpya alafu mwingine naye auziwe Eicher mpya... You cant compare the two in terms of quality am telling you.
Hii kitu ni original... Kutu ni habari ingine kabisa ambayo huwezi isikia.Halijaathirika na kutu au umetumia ile anti rusting compound
Kamdanganye mwanao wa primaryMkuu, inategemea na book value au historical cost. Mimi nililinunua laki na nusu. By the way hilo utalouziwa la efu sabini halina ubora kama hili nililouziwa mie... Yani hapo ni sawa mtu anunue Coaster mpya alafu mwingine naye auziwe Eicher mpya... You cant compare the two in terms of quality am telling you.
Hah haa haa ! YerewiiiWe futi za nini? Unataka uligeuze kuwa beseni? Madish ya DSTV yote yanalingana.