Nawasalimu!
Nina mgodi, nahitaji kuuza madini nchi za nje japo sijawahi na sijui bei zake. Naomba mwwnye kujua anisaidie kujua bei ya gram moja ya dhahabu ni dola ngapi???
Natanguliza shukrani
Nawasalimu!
Nina mgodi, nahitaji kuuza madini nchi za nje japo sijawahi na sijui bei zake. Naomba mwwnye kujua anisaidie kujua bei ya gram moja ya dhahabu ni dola ngapi???
Natanguliza shukrani
Ingawa naweza kukuelekeza ila naisi ni kama unataka kujiingiza kwenye utapeli......
Kama ya kuuza nje lazima upate certificate sahihi ya kufanya ivo ila kama una MINING LICENCE PIA INAWEZA KUKUSAIDIA KUUZA NJE.
TMAA WANATOA BEI ELEKEZI..PIA NAAMINI KAMA UMEWEZA KUANDIKA JF UNAWEZA KUJUA UPDATE PRICE YA KILA SIKU KUPITIA NET...
Mwisho... www.tmgof.or.tz
ndo sehemu sahihi kwako ya kupata elimu yote hii