Ipo wapi?Wadau,
Nauza PC yangu,iko poa kabisa
HP 500b micro tower
2048 MB -2gb
Hard disk 320gb
Bei:150,000 maelewano ruksa
Njoo pm.tumalizane fasta
Dar es salama mkuu,lakini hata mkoa natuma tuIpo wapi?
Sijui Ku pm mkuu ila nngependa sana ungentumia picha wasap au weka namba ya wasap nkutafteIpo wapi?
Nimekutumia message,pembeni ukifungua tu page ya jamii utaona alert ,ifungue halafu tunaweAza kuwasilianaSijui Ku pm mkuu ila nngependa sana ungentumia picha wasap au weka namba ya wasap nkutafte