Ukitaka kuuza gari kivizuri zaidi zingatia haya!
Specifications
»Odometer ingawa zinarudishwa nyuma
»Engine size and type eg cc2000,D4 etc
»Color😛earl white silver black etc
»Grade ya ghari:grade 5,grade 3 etc
Picha
»Weka Picha inayoonyesha sehemu za gari zote,engine,ndani,buti,tyres,na ubora wa rangi ya gari na kama kuna demage weka pia
Contacts na bei ya Mwisho ya kuuza! Haya mambo ya kusema nauza mil4.5 ila inazungumzika hayasaidii weka bei ambayo kama 4m baasi hyo hyo!