muvika online
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 374
- 283
Hyo 90k meza na kiti chake?Nauza Computer zangu (zipo 5) Ambazo nilizinunua Mwezi wa 1, 2019 na Kuzitumia kwa Mwezi Mmoja tu Kisha nikaziweka Stoo, Kwasasa Nina Ziuza Zipo 5, Pia ukuacha Computer nauza Viti na Meza ambazo zote Nilinunua kwa Siku Moja.
Computer nauza 250,000/= (Maongezi yapo)
- Ram 2GB
- Hard disk 160 GB
- Screen Nchi 24
Meza Ndogo 90,000/= (Haipungui)
Meza Kubwa (Sijaipiga Picha) 150,000/= (Maongezi Yapo)
Napatikana Mwanza- Igoma Kama Unahitaji Kitu hata Kimoja wapo nicheki Kupitia 0746898139 (Call / Whatsapp)
View attachment 1067831
View attachment 1067832
View attachment 1067833
View attachment 1067834
Hapana ni Meza tu Kiti Kina bei yake AngaliaHyo 90k meza na kiti chake?
Duh! Nipo mkoan utanitumia?Hapana ni Meza tu Kiti Kina bei yake Angalia
Ndio utatumwa tu hakuna tabuDuh! Nipo mkoan utanitumia?
Asante sanaushuhuda mwingine wa kukosekana mazingira rafiki ya biashara!
maandalizi januari, kisha aprili.......!
pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok ntakuchek mida broNdio utatumwa tu hakuna tabu
OkOk ntakuchek mida bro
Dah ni hatari sana vyuma hiviinakera sana. kuna mdau wangu wa karibu alijichanga akafungua kijiwe cha chips. pango miezi 6 akalipia, akanunua vitendea kazi vyote sanjari na kitambulisho cha 20,000. mauzi ya wiki ya kwanza chips 8=16,000
kwa mwezi akijikuta ameuza 42,000.
amerudi kijijini kulima!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kiongozi
Hakuna biashara kichaa kufanya kama hii aisee kama huna mda wa kuisimamia n heri uachane nayo vijana n pasua kichwa mm ilisha nipa hasara za kutosha mwisho wa siku nika ifunga kabisainakera sana. kuna mdau wangu wa karibu alijichanga akafungua kijiwe cha chips. pango miezi 6 akalipia, akanunua vitendea kazi vyote sanjari na kitambulisho cha 20,000. mauzi ya wiki ya kwanza chips 8=16,000
kwa mwezi akijikuta ameuza 42,000.
amerudi kijijini kulima!!
Sent using Jamii Forums mobile app