Nauza camera Canon 600D

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
Nauza camera aina ya Canon 600D imetumika mwaka mmoja na mtumiaji ni mimi mwenyewe,ilinunuliwa mpya,ni moja ya camera nzuri na za kisasa kwa wale wanaoanza photography kwa ngazi za entry level,pia hutoa video nzuri sana,package ni Camera Canon 600D pamoja na Kit lens EFS 18-55mm,CD zake ,manual book,charger,battery,camera bag,bei ni TZS 1,200,000.00.Simu 0655 585 490 na 0676 585 490View attachment 264093
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom