We kwanini ununue gari used kutoka japan na usinunue gari use toka hapa hapa kwa mbongo mwenzako. Ukiwa na jibu la hapo basi hata swali ulilomuuliza jamaa jibu unalo.
We kwanini ununue gari used kutoka japan na usinunue gari use toka hapa hapa kwa mbongo mwenzako. Ukiwa na jibu la hapo basi hata swali ulilomuuliza jamaa jibu unalo.
Tunanunua magari used hata hapa hapa kutoka kwa wabongo wenzetu au hujui hilo,pia tunanunua used kutoka Japan kwa kuwa hatuna uwezo wa kununua magari mapya hapa bongo na Japan used ni bei poa kuliko gari jipya sasa kwa Camera used huko nje sijui bado ina tofauti gani na camera used hapa Bongo,naona baado tuna ulimbukeni wa kusema used ya nje ni bora kwa matumizi kuliko used ya hapa nchini,au twadhani watumiaji wa nje ni makini zaidi kuliko watumiaji wa hapa nchini na hiyo ni dhana potovu tuiache kama unauza kitu sema tu kimetumika ,na si eti sijui imetumika nje na si hapa nchini ,kutumika kwa kitu hakulinganishwi na mahala kinapotoka bali binafsi mwenye hicho kitu.