October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Habari
Business location DODOMA
Kwanza plan hii niliyoiandika imetoka kwenye experience yangu natumai ukiifata vilivyo hauwezi Jutia au kujaribu biashara husika nakuhakikishia hilo, Business plan kilamtu anaweza andika ila Business location ipoje...Business strategy ipoje hii ndio solid business.
Ninayo business plan niloiandika mimi mwenyewe nikiwa chuo kuhusu biashara ya mgahawa, ifahamike kuwa Hakuna wazo jipya duniani ila kitu kipya kwenye wazo Business location na Business strategy hicho ndicho ninachokiuza hapa, plan ya biashara niliyoiandika ni ya sehemu yenye Soko nimeeleza soko lipoje, kwanini kuna soko na vipi ulivune soko zaidi maana hakuna mfanya biashara aliyee mahala hapo ambaye ajali-win soko kila mwenye mgahawa ana wateja bila tatizo ila nilichoandika nijinsi gani utalipata zaidi ilo soko kwamaana ya wateja nina experience kwasababu mimi nilikuwa mmoja ya wateja na nimeishi na wateja nilichoandika sio illusion niliandika nije kuki-apply ila naona mambo yamekuwa taiti kwangu.
Huu ndio muda sahihi ukiwa unataka kufungua mgahawa kwasababu biashara zinaanza mwezi wa 11 baada ya wanafunzi kufungua chuo, so chuo kinapokea intake mpya ya wanafunzi saasahivi ndio muda wa kutengeneza mgahawa wakija wanafunzi unakuwa huna tofauti na migahawa iliyopo kabla.
NB: nachouza sio wazo bali BUSINESS LOCATION na uchambuzi wa KULITAWALA SOKO vyote nimeandika kwa experience yangu.
Bei nauza 100,000/=
namlenga mtu mwenye mtaji mzito 5M to 10M.