Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,766
- 2,685
Nimeeleza hapo juu kwamba nilipanga niitekeleze(implement) ila nimebanwa na ajira hivyo namuuzia mwingine ili PLAN isipotee bure6. jinsi ya kupata mtaji...
then unahitaji mtu mwenye mtaji??
Research ni road map, yaani muongozo kwa asiye na pa kuanzia. Kadri unavyotumia hadi wapi uongeze nini na wapi upunguze niniResearch ulifanya uko moshi, mbona mazingira ya moshi na simiyu nitofauti, nadhani mie haitanifaa.
NAPENDA NIFANYE HIVYO, ILA KUKUSANYA TAARIFA KUNA GHARAMA NA MUDA, LABDA KWA ALOPIKA DATA AMBAZO HAZITAKUWA HALISI.Nikopeshe wazo lako ndugu yangu, nikipata faida nitakulipa.
NI KWELI BOSS. LAKINI HUTAKI KUISAIDIA NCHI KWA GHARAMA CHINI LA LAKI MBILI?toa tu hyo plan hata bure kwani mpaka uuze,,mm nikifanikiwa sinitakua nimeisaidia nchi yangu pamoja na ww pia