Ikiwa mpya bei yake ikoje?
hahahahaNikimtaka na huyo mdada inakuwa bei gani
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nikimtaka na huyo mdada inakuwa bei gani
nimeidownload chap kwa matumizi yangu kabla mods hawajafanya yao







hyo pisi tunafanyaje kuipatami mbona tayari nishaipata ?hyo pisi tunafanyaje kuipata
sasa kama we ni friend wa kweli kwanini usinifanyie wepesi tu 😂 yote haya ya niniNa huyo mtu wa pembeni anauzwa pia?
Asking for a friend mshamba_hachekwi
Ndio nataka nijue kama anauzwa ili nikununulie my fwendi 😂😂sasa kama we ni friend wa kweli kwanini usinifanyie wepesi tu 😂 yote haya ya nini
dah, unajua kukwepa 😂Ndio nataka nijue kama anauzwa ili nikununulie my fwendi 😂😂
Nyani mzeedah, unajua kukwepa 😂