Nauza bodaboda

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
pikipiki aina ya skymark, model ya racer nauza bei ni 750,000 (laki 7 na elfu hamsini)

namba ya usajili ni T CEA

ipo inafanya biashara maeneo ya tabata na dereva analeta hesabu kila mwisho wa wiki elfu 50.

ukitaka kuitumia kwa biashara unaweza ukaongea na dereva wangu mkaendelea na kazi,

sababu ya kuiuza naenda mikoani.

kwa mawasiliano 0713774746
 

Attachments

  • IMG-20141026-WA0017.jpg
    139.3 KB · Views: 322
Haya we uza.
Ukiuza mwambie Dereva wako awasiliane na mie nimpe pikipiki Mpya Boxer au Hero new Model alete hesabu kama hiyo.Maana mie mwenyewe Tabata ni mitaa yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…