Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Feb 12, 2014 #1 Jamani mwenye kuhitaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909 Bei: Kuuza Tshs 47,000/= Kukodi Tshs 217/= kwa siku Maelewano yapo VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA Nyati
Jamani mwenye kuhitaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909 Bei: Kuuza Tshs 47,000/= Kukodi Tshs 217/= kwa siku Maelewano yapo VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA Nyati
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,352 Reaction score 13,456 Feb 12, 2014 #2 Nimekumbuka mbali sana.
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Feb 13, 2014 Thread starter #3 kichomiz said: Nimekumbuka mbali sana. Click to expand... Basi kama ni hivyo basi rusha offer
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Feb 13, 2014 #4 Nyati said: Jamani mwenye kuhutaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909 Bei: Kuuza Tshs 47,000/= Kukodi Tshs 217/= kwa siku Maelewano yapo VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA Nyati Click to expand... Za comrade Kipepe hizo , ntahitaji kama tano hivi za biashara ila itabidi upunguze bei maana hazina "sight mirrors"
Nyati said: Jamani mwenye kuhutaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909 Bei: Kuuza Tshs 47,000/= Kukodi Tshs 217/= kwa siku Maelewano yapo VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA Nyati Click to expand... Za comrade Kipepe hizo , ntahitaji kama tano hivi za biashara ila itabidi upunguze bei maana hazina "sight mirrors"
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Feb 13, 2014 Thread starter #5 Baba V said: Za comrade Kipepe hizo , ntahitaji kama tano hivi za biashara ila itabidi upunguze bei maana hazina "sight mirrors" Click to expand... "Sight mirror" siyo dili unatumia zile za asili (unageuka wakati wa kuendesha). Bei kupungua itakuwa ngumu kwani kutengeneza ni kazi kubwa hasa matairi ambayo waweza kutengeneza wakati unakaribia kumaliza likakatika kati hivyo inabidi urudie
Baba V said: Za comrade Kipepe hizo , ntahitaji kama tano hivi za biashara ila itabidi upunguze bei maana hazina "sight mirrors" Click to expand... "Sight mirror" siyo dili unatumia zile za asili (unageuka wakati wa kuendesha). Bei kupungua itakuwa ngumu kwani kutengeneza ni kazi kubwa hasa matairi ambayo waweza kutengeneza wakati unakaribia kumaliza likakatika kati hivyo inabidi urudie
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Feb 13, 2014 #6 ...bagadu...
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Feb 13, 2014 #7 ...inabeba mzigo hiyo usipime....!!
L LIGEDENGE 1 Senior Member Joined Nov 15, 2013 Posts 184 Reaction score 29 Feb 14, 2014 #8 gefu wewe bila shaka m'bena. umeuona mpangadede huo?