Shardcole nafikiri picha utakuwa umeziona!
:cool2: bado ipo au umeshauza kamanda wangu
Njoo PM nikuuzie kwa 400,000
Z10 mpya kabisa kwenye box lake nj lak 4 lile duka opposite na sapna. na pale sapna posta wanauA 420 mpya, na z30 wanaiza 950 mpya kabisa kwenyw box lake haijawai tumika na mtu yoyote.