wakalaoriflame
Member
- Aug 13, 2014
- 76
- 4
Tumia bidhaa asili za Oriflame kutoka Sweden zilizotengenezwa na mitishamba...Jiunge na Oriflame pia ujiongezee kipato!kujiunga ni 9,000/=
Kama una mtaji wa laki moja hujui ufanyie nini basi Oriflame ni jibu lako!
Oriflame= Foreverl Living= GNLD=DECI=Matapeli
Ulishawahi kutapeliwa?
Kwahio mna-deal sana na cosmetics alafu bei yenu mkasi sana hapo unanunua hio alafu unauza ngapi sasa ? cheapest product yenu ni ipi na ni bei ganiOk..tuna hii hapa perfume ya kiume inaitwa More,,ni ya watu wote..bei ni 99,000/=
Kwahio mna-deal sana na cosmetics alafu bei yenu mkasi sana hapo unanunua hio alafu unauza ngapi sasa ? cheapest product yenu ni ipi na ni bei gani
Bidhaa cheap zipo pia naziweka!
Sasa ukisema perfume ya kiume afu ukasema ya watu wote una maana gani? wanaume na mapunga?
cheapest kuliko zote ni ipi na ni tshs ngapi