Nauza Beberu Bei Chee

Mkuu siku ya kumtafuna huyo jike,unipm nije kukusalimia.

Usijali jombaa ntakutaarifu tu,pia hata nikimchinja dume ntakujuza nimeamua wote nifanye kitoweo maana naona watu wameshaanza kuleta maneno ya shombo,wanauliza saaaana kumbe hawana kitu tunapotezeana mood tu,tangu lini Makonda daladala/bodaboda wakala nyama zaidi ya miguu ya kuku na maji ya kandoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…