Mwenye Nyumba mkuuMwenye nyumba au Fundi?
Kwa ambaye anazihitaji ninaziuza.
Hebu eleweka 340,000 x 8 = 272,000Q. 1. Kila bati ninauza Tshs 340,000. Kwa bati zote bei yake ni Tshs. 272,000.
Nilimaanisha 34,000 mkuu.Hebu eleweka 340,000 x 8 = 272,000
Una akili sana!Mwenye nyumba au Fundi?
Hizo bati ni ngapi? Nifate inboxWakuu mambo vipi?
Nina bati 8pcs za Alaf mgongo mpana (Chacoal grey) na mifuko 4 ya misumali (Kila mfuko una uzito wa 1Kg na misumali 100pcs). Material hizi zilibaki baada ya kupaua.
Kwa ambaye anazihitaji ninaziuza.
1. Kila bati ninauza Tshs 34,000. Kwa bati zote bei yake ni Tshs. 272,000.
2. Mfuko mmoja ninauza Tshs. 7000. Kwa mifuko yote Tshs 25,000
Napatikana Bagamoyo.
Mawasiliano: 0747642122
Nimekucheki Mkuu. Zipo 8pcsHizo bati ni ngapi? Nifate inbox
Zipo MkuuBado vinapatkn