Nina bata 30 mchanganyiko wa madume na majike lakini majike ni mengi zaidi.
Nawauza wote na Banda lake kama ukihitaji
Madume: 25000 kila moja
Majike;20000 kila moja
Yapo pia majike na vifaranga vyake.
Nipo gongo la mboto.0769846183
Hio picha ya yatu umefanikiwaje kuwapangisha katika foleni ili uwapige picha Inaonesha hao bata ni waelewa jamani tununue hawa bata mi kwa sasa sina hela
Hio picha ya yatu umefanikiwaje kuwapangisha katika foleni ili uwapige picha Inaonesha hao bata ni waelewa jamani tununue hawa bata mi kwa sasa sina hela