Weka bei kijanaFuti tano kwa sita lipo katika hali nzur lakisasa na lahisi kuamishikaView attachment 1450729View attachment 1450730
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei maelewano lipo Ubungo maziwa karibu na stand ya mkoa banda ni la kuunga kwa vipande rahis kubebeka lin almunia kwa mbele kwa shuhuli ya money transfer
Wacha uzamani
Nimoja mkuu apo ni kabla alijapakwa rangMkuu eleweka bas kati ya hayo lipi unauza? Ni hilo lenye matangazo au hilo jekundu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu unaweza kulisafirisha kwavipandevipande namaanisha unalipangua ndio unalisafirisha
Yap unalipangua ni lakufunga na bolt vipo bipande nane pamoja na getKwahiyo mkuu unaweza kulisafirisha kwavipandevipande namaanisha unalipangua ndio unalisafirisha
Sent using Jamii Forums mobile app