Nauza Bajaji TVS KING imetumika miezi 2

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Habari wadau
Nauza Bajaji yangu imetumika miezi 2 tu, Aina ya TVS King 2 stroke
Bei poa na maelewano, iko Upango karibu na diamond jubilee kwa mawasiliano zaidi piga 0764 321519
 
Mods nashauri muwe mnafuta matangazo ambayo hayajakamilika.

wewe kama uko serious weka bei, hii itakusaidia pia kupunguza idadi ya simu utakazopigiwa.

Bora uweke bei ndio mnunuzi mwenye uwezo au aliyekaribia na uwezo huo ndio akupigie simu! kwanini uwe na mali ya 4m upigiwe simu na mtu uwezo wake ni 1.5m?
 
Habari wadau
Nauza Bajaji yangu imetumika miezi 2 tu, Aina ya TVS King 2 stroke
Bei poa na maelewano, iko Upango karibu na diamond jubilee kwa mawasiliano zaidi piga 0764 321519

bei poa ndio shilingi ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom