Ndug wana JF.,Habari zenu.. Nauza bajaj 2 aina ya 2stroke zipo katika hali nzuri na zinatembea barabarani. Kwa kila moja bei yake ni sh MILLIONI MOJA NA LAKI NANE (Tsh 1,800,000). Zipo eneo la Mwenge opposite na Efatha bank. Kwa mawasiliano zaidi 0717-163106