Nauza asend y300. model y300-0151.

Nauza asend y300. model y300-0151.

security

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
322
Reaction score
75
Wakuu kwa anayehitaji hii Simu. Simu inamuda wa wiki moja tu tangu niinunue Dukani laki mbili na 30. Naiuza kwa sababu huku kijijini haiplay yuotubu vizuri inagomagoma lakini mjini kwenye 3G there is no problem at all. Nitakupa na vifaa vyake vyote mpaka lisiti ya manunuzi. Bei ni 180,000. Niko Iringa. Kama utahitaji picha nitakutumia kwa njia ya whatsapp 0755990512. thanks.
 
Uko mbali sana na mjini...iringa!!!!
 
Wakuu kwa anayehitaji hii Simu. Simu inamuda wa wiki moja tu tangu niinunue Dukani laki mbili na 30. Naiuza kwa sababu huku kijijini haiplay yuotubu vizuri inagomagoma lakini mjini kwenye 3G there is no problem at all. Nitakupa na vifaa vyake vyote mpaka lisiti ya manunuzi. Bei ni 180,000. Niko Iringa. Thanks.

tubadilishane na p3 single line nimesha i root iko poa ina option ya kuchagua 3g na e
 
au kama kuna mtu ana aina nyingine ya simu tubadilishane isiwe tecno na itel.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom