Nauza asali

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,212
Nauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora Lita 1 sh 20,000 tu
Free delivery - nakuletea popote pale ulipo.

Karibuni wote
 
Unataka Lita ngapi?
Dar upo sehemu gani? unaletewa mpaka ulipo.
 
Lita 1 tshs 20,000/=, toa maelezo kwanza kuhusu hiyo bei maana kwa bei hiyo sidhani kama utapata wateja
 
Ina instagram ndani?
Lt ingekua 12,000/= tena in original
Ukiuchovya unjiti wa kiberiti kwenye asali halafu ukauwashia kwenye ganda la kiberiti ukawaka, jua ni original
Utawapata lkn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom