Nauza asali yenye kiwango kutoka tabora

Nauza asali yenye kiwango kutoka tabora

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
wadau mi ni mjasiriamali ninayejishuhulisha na uuzaj wa asali mbichi kutoka tabora na bei yangu ni elfu 12 kwa lita kwa muhitaj ani pm pliiiz
 
wadau mi ni mjasiriamali ninayejishuhulisha na uuzaj wa asali mbichi kutoka tabora na bei yangu ni elfu 12 kwa lita kwa muhitaj ani pm pliiiz

hivi asali ya Tabora si tuliambiwa ina nicotin na ni hatari kwa afya ya binadamu? kwamba nyuki wake hutua ktk maua ya tumbaku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom