Nauza asali ya nyuki wadogo

Nauza asali ya nyuki wadogo

Wewe utakua umechanganya ni asali ya nyuki wakubwa....kama nyuki wadogo unauza cheap hivyo je nyuki wakubwa si utauza lita buku mbili?
 
Toa location ipo asal mbichi nyuki wadogo litre 12000 mbeya
 
Sema haki ya mungu!!
Juzi huku Namtumbo nimeambiwa kachupa hata robo haifiki eti huku 4.
Haya tuma Lita moja huku Namtumbo kesho
 
Toa location ipo asal mbichi nyuki wadogo litre 12000 mbeya
Mbeya sehem gani kesho nikanunue....nipe direction au contacts....maana wasijekua wanawauzia ya nyuki wakubwa wanawaambia nyuki wadogo... Kwanza nyuki wadogo huwez pata lita 20 blaza nimekaa sana pori la mpanda na makundi ya nyuki wadogo nayajua hata utengenezaji wao wa asali ni wa kivivu balaa. Mleta mada atakua kachanganya kidogo alimaanisha nyuki wakubwa
 
Nipo Tabora inapatikana kwa 20litre kwa bei tajwa apo juu
 
Mbeya sehem gani kesho nikanunue....nipe direction au contacts....maana wasijekua wanawauzia ya nyuki wakubwa wanawaambia nyuki wadogo... Kwanza nyuki wadogo huwez pata lita 20 blaza nimekaa sana pori la mpanda na makundi ya nyuki wadogo nayajua hata utengenezaji wao wa asali ni wa kivivu balaa. Mleta mada atakua kachanganya kidogo alimaanisha nyuki wakubwa
Brother unahitaj litre ngap?
 
1litre 10000
5litre 45000
20litre 180000
Note hii bei ni kwa sababu ya msimu wa asali bei itabadilika kutokana na msimu wa asali kuisha pia utalipia baada ya kuhakiki ubora wa asali yetu

Call 0693434521
 
Ninayo asali ya Nyuki wadogo kiasi cha lita tano (5) kimara Tembon, bei 70,000 kama upo interested nicheki 0766943145 (NI ASALI HASILI HAIJACHAKACHULIWA HATA KIDOGO NJOO NA KIPIMO CHAKO)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom