Kuhusu asali kuchafuliwa na tumbaku ilikuwa propaganda za walanguzi na walaghai wanunue asali kwa bei ya chini kutoka kwa wafugaji kisha wao wakauze kwa bei kubwa sana wapate faida maradufu. Siku hizi wafugaji hawadanganyiki tena.
Hilo la Mizengo Pinda kuharibu biashara ongezea nyama na ufafanue ni kivipi? Isije kuwa unamsingizia Mzee wa watu?