Nauza asali kutoka Tabora

Nauza asali kutoka Tabora

Nick Neymar

New Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Nauza asali kutoka tabora jumla na rejareja
Nick honey
Kwa mawasiliano piga simu 0716701071 /0687111808
 
Haina nikotini ya tumbaku?
Hilo neno leo nimeenda kisarawe nikakutana wajasiriamali wanauza bei tofauti na ile ya tabora wakanijibu kwamba hii ni ya pwani haina nikotini. Hivi kuna ukweli katika hili au ni kuharibiana tu biashara. Nauliza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom