Bei yake ni ml.15 mazungumzo yapo, ardhi hiyo kwa sasa nimelima mihogo, panastawi mbaazi,mikorosho, miembe, michungwa, mananasi kwa sana, zaidi ya namba hiyo hapo juu unaweza kuwasiliana nami pia kwa namba 0784 535 260, pia niwatoe wasiwasi mimi ndiye mwenye mali, hamna dalali.