saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 729
- 653
Habari wadau, nauza acoustic guitar kama linavyoonekana kwenye picha hapo, lipo vizuri na linapatikana mbagala kuu. Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM bei ni 140k .
Asanteni
Asanteni
Kwa strings utazipata madukani kariakoo au kwenye maduka ya vifaa vya muziki ila kwenye mafundi kama seremala hawezi kufix sijui wapi kuna mafundi haya madude kwa mjini hapaWazee langu limekatika kamba mbili na limepinda kidogo...wapi Kwa dar napata fundi guitar?