zaynab applw
Member
- Nov 30, 2016
- 55
- 38
Ahsant sanHongera sana kwa ubunifu
AmeenWeka jitihada utafika mbali
Alhamdulillah shukranMashallah ukhty zai
Nauza achari/ubuyu wa embe ni embe zilizoanikwa juan na kupikwa kama ubuyu ni tam mnoo nauza 700 jumla 1000 kwa rejareja napatikana Songea town delivery ipo kwa wakaz wa mbeya mtwara Ruvuma yote Dodoma Dar Moro Iringa njombe Karibuni sana 0654695943View attachment 918506View attachment 918507View attachment 918508
5 to 6 monthZinaisha/ expire baada ya muda gani?
Zinaisha/ expire baada ya muda gani?
Sijaona ukiwa umeandika katika package, jitahidi sana bidhaa iwe bora utajikuta unapata soko haswa la watu wa nje na Tz mfano Malawi, Zambia na Msumbiji5 to 6 month
Mambo gani hiyo no ni kwajili ya mtu anaehitaji hizo achari na c vinginevyoZainabu naruhusiwa kutumia hiyo namba yako ya simu uliyoweka hapo kwa mambo yetu yale?[emoji4][emoji4][emoji4]
Zipo full packed hapo zilikuwa kwenye processSijaona ukiwa umeandika katika package, jitahidi sana bidhaa iwe bora utajikuta unapata soko haswa la watu wa nje na Tz mfano Malawi, Zambia na Msumbiji
aiseeZainabu naruhusiwa kutumia hiyo namba yako ya simu uliyoweka hapo kwa mambo yetu yale?[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji4][emoji4][emoji4]aisee
uko fastaaa[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]uko fastaaa