Nauza 3g HSPDA universal modem

Nauza 3g HSPDA universal modem

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,053
Reaction score
3,268
Habari wandugu,

Nauza 3G HSPDA universal modem mpya Tsh. 30000/=. Napatikana Ubungo Riverside DSM.Kwa anayehitaji,njoo pm tufanye biashara. Nitakuletea ulipo (Dsm)bila gharama ya ziada. Zimebaki mbili tu kwa sasa.
 
Ma Modem ya kazi gani kwenye ulimwengu wa Smartphone.
Tunatumia smartphone hiyohiyo kama modem. Sasa mtu uwe na smartphone, na modem. Ununue Bando huku na huku si mzigo huo!!!

Halafu mbaya zaidi Modem yenyewe 3G, wakati Bando Langu la Chuo kwenye TECNO yangu na enjoy video stream 4G ya Vodacom.

Hiyo labda nenda ukawauzie wanaume wa mikoani ambako 4G wanaisikia kwenye bomba
Wabongo bhna!!! Kujifanya mjuaji tu . kama kwako haina kazi si ukaushe tu mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom