Huo wimbo unaitwa rangi ya chungwa, nhs unapatikana youtubeHabari wana jamvi...kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta full performance ya clip ya huu wimbo au hata original song lakini hadi sasa sijapata...naomba msaada niweze kufanikisha...I love the songView attachment 1909911