Ndugu wananchi wenzangu tuliopo kwenye vuguvugu hili la mabadiliko,
Naukubali sana Ukawa hasa kutokana na Harakati wanazoendelea nazo za kutuletea Ukombozi wa pili..
Ukombozi dhidi ya mkoloni mweusi.
Nakubaliana na Viongozi wangu wote, isipokuwa huyu mmoja tu, Bwana James Mbatia.
Huyu Kiongozi pamoja na umahiri wake wakueleza mambo, bado asiaminike sana..
Mbatia hapaswi kuaminiwa kwa asilimia zote,
Tutizame kwanza nguvu iliyomweka Bungeni!!
Tutizame tunayepambana nae [ccm]`
Ni ngumu sana kukata tawi ulilokalia at the same time.
Let watch this Man by our two eyes!!
Anaweza akatusaliti.