Wakuu salaam kwenu. Naomba msaada namna ya kuunganisha Zantel modem kwenye mac (OS 10.7 Lion). Nilijaribu kutumia maelezo kutoka pasamio.com "Getting ur Huawei modem working with Mac OS X Lion" na kudownload 3connect Installer. Baada ya kumaliza niki-activate inasema "an error occurred with the modem. Try reconnecting. .."
Msaada wenu tafadhali.