Alilala na bibi harusi Siku moja kabla ya hatusi na sio bwana hatusi, bado mnanishauri harusi?
Unapohitaji kufunga ndoa na sehemu kubwa ya bajeti itoke kwa watu, hapo haujaoa bali tumekuolea
Na ikitokea walevi katikati ya harusi tunaanza fujo zetu basi utuheshimu na kutuvumilia tu